Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Alberto Angela

Alberto Angela

Alberto Angela (alizaliwa 8 Aprili 1962) ni mtaalamu wa palantolojia, mwandishi, na mwanahabari kutoka Italia. Angela anajulikana sana kama mtoa mafunzo wa historia na sayansi nchini Italia.[1]

Marejeo

  1. "Alberto Angela napoletano: C'è la delibera". 20 Mei 2018.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alberto Angela kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Kembali kehalaman sebelumnya