Shamba (kutoka Kifaransa "champ") ni eneo la ardhi ambalo limetengwa kwa ajili ya shughuli za kilimo kwa lengo la kuzalisha mazao ya chakula na mazao mengineyo; ni kitu cha msingi katika uzalishaji wa chakula.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shamba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.