Mji ulikuwa na vipindi vya kujitegemea na vipindi vya kutawaliwa na nchi za nje katika historia yake. Mnamo mwaka 1500Wareno walikuwa mabwana wake. Tangu katikati ya karne ya 19 Mogadishu ilikuwa chini ya sultani wa Zanzibar.
Makala hii kuhusu maeneo ya Somalia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mogadishu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.