Kati ya miaka 1961 na 1989 mji ulitengwa na ukuta kati ya sehemu za mashariki na magharibi. Baada ya kuungana tena kwa Wajerumani mnamo 1990, Berlin ikawa tena mji mkuu wa Ujerumani yote.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Berlin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.